Biashara ya ikiendelea kando kando ya barabara pasipo kujali hatari zinazoweza kujitokeza kama ambavyo wakina mama hawa walinaswa wakiuzwa nyanya jana kati eneo la City. Hii inatokana na mamlaka husika kushindwa kuwatafutia maeneo husika kwa ajili ya kufanya biashara.
Wananchi wa mji wa Mpanda wakinunua ndizi katika soko kuu la Mpanda Hotel, bei ya mkungu mmoja wa ndizi huuzwa ati ya Sh 13000 hadi Sh 15000.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Songambele katika kata ya Nsimbo nje kidogo ya mji wa Mpanda akiwa katika foleni ya kusubiri maji, mji wa mpanda na vitongoji vyake vinakabiliwa na kero kubwa ya maji hasa nyakati za kiangazi,hii inatokana na kukosekana kwa maji safi ya bomba yanayo weza kuwatosheleza wakazi wa mji huo.
(Picha na Mussa Mwangoka)
Post a Comment