Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:KITENGE CHA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA CHAPENDEZESHA UZINDUZI WA UJENZI WA JENGO KUU LA ELIMU HURIA NA MASAFA

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Prof.Tolly Mbwete akitabasamu kwa bashasha huku akiwa amevaa shati la kitenge likiwa ndilo vazi rasmi la Chuo wakati huu wa Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania toka kuanzishwa kwake mwaka 1992.
 Ni Patricia Boshe ambae ni mjumbe katika kamati ya maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya MIaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  yeye alitokea namna hii ,,,,,!!! 
Pendeza sana.

 Pozi muhimu hususani ukiwa ndani ya kitenge ni Ms.Sophia Nchimbi(Kushoto) akiwa na Patricia Boshe.
 Ms.Sophia Nchimbi(Kushoto) ,Patricia Boshe na Mr.Samzugi alie ndani ya tai(nikutonye habari chini ya kapeti zinadai kuwa  tai hiyo ni kutoka kwa Obama)
 Wadau wakuu wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakiwa ndani ya Vazi rasmi la sherehe hizo ambalo ni kitenge kutoka kushoto ni Sophia Nchimbi,Patricia Boshe, Maulana Ayoub Ali ,Dk.Paul Kihwelo(ambae ni Mwenyekiti wa kamati) na Salim O.Hamad 

Wadau wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakiwa kwenye pozi la Picha katika kituo cha Kinondoni,Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania jana 5/9/2012 .

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top