Diwani wa Kata ya Levolosi (mwenye nguo nyeusi), Ephata Nanyaro pamoja na walimu wa Shule ya Msingi Levolosi wakiangalia namna ya uchimbaji wa kisima hicho alichoahidi wakati wa kampeni zake kuwania nafasi ya kuongoza Kata hiyo.
Mh Nanyaro (kulia) akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa uchimbaji visima ambae alieleza kuwa kisima hicho wamechimba urefu wa mita 63 kwenda chini.
Mtaalamu akielekeza matabaka tofauti ya udongo waliyokutana nayo wakati wa uchimbaji, matabaka ambayo huwasaidia kujua upatikanaji wa maji katika eneo husika.
Mashine ikichapa kazi ya kuchimba kisima kwa ajili ya matumizi ya wananfunzi na wakazi wa eneo hilo ikiwa ni ahadi ya Diwani
Akiangalia namna kazi inavyofanyika
Post a Comment