Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HATIMAYE MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AFIKA ENEO LA TUKIO MBAGALA KUJIONEA UHARIBIFU ULIOFANYIKA JANA

 Mkuu wa wilaya ya temeke akiwa kanaisa lililoharibiwa kwenye vurugu  za waislamu jana ili kujionea mwenyewe uharibifu huo uliotokea jana kwa baadhi ya waislamu kuamua kuharibu makanisa matatu jana Mbagala.

 FFU akiwa kwenye mlango wa kuingilia Kanisani ambao nao umeharibiwa huku baadhi ya wananchi wa maeneo hayo wakishangaa
 Akijibu hoja za waumini ambao wameomba wapewe ulinzi na serikali iwajibike kujenga kanisa kwani polisi walizembea kuzuia waislamu waliokuwa wakifanya vurugu kwa awamu tatu bila polisi kudhibiti hali hiyo.
 Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke akiwasikiliza kwa makini wakati Mkuu wa Wilaya akizungumza katika eneo la tukio lililoharibiwa jana kutokana na vurugu.
Yupo kazini na hakuna utani hapo ! Askari wa Kikosi cha kutuliza Fujo akiwa kazini eneo la Mbagala wakati Mkuu wa Wilaya ya temeke alipotembelea eneo la kanisa lililoharibiwa jana.
Kwa hisani ya Mjengwa Blog

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top