|  | 
| Hii ni aina ya nyumba maarufu huko Afrika Kusini kama 'shack'. Mdau anasema wapo hata wa Tanzania, waliozamia huko na wanaishi katika nyumba kama hizi . Tunauliza swali watu kama hao si bora warudi tuu hapa Bongo ? | 
|  | 
| 
Wachuuzi - Machinga wakiSauzi wakiwa wametandaza bidhaa zao barabarani wakisubiri wateja. Hivyo mbongo kama unafikiri kwenda nje ya Tanzania kwa kudhani urahisi wa maisha , fikiri tena. Inabidi uwe umejipanga utafanya kazi gani na utaishi wapi , kwani wapo wanaoishi maisha magumu hata huko nje ya Tanzania. 
 | 
Picha kwa hisani ya mdau aliyepo huko Afrika ya Kusini.
 
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
 
Filed Under: 
          
Jamii
  on Thursday, November 15, 2012
 
 
Post a Comment