Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BAJAJI IKIKATIZA MAENEO YA SOWETO,MBEYA

Bajaji hiyo ikiwa barabarani kiti cha dereva chaweza  kuwa kituko kingine lakini nyuma nako iko wazi na kiti cha abiria wakiona huku abiria akiwa katulia tuli bila wasiwasi chombo kinakwenda.NI maeneo ya Soweto,Mbeya ambapo bajaji hiyo ilikutwa ikikatiza mitaa bila wasiwasi.

Dereva Kapaki pembeni anafanya shughuli nyingine huku chombo kikiwa pembeni alipoulizwa kwanini hivyo akadai wako kwenye matengenezo ya bajaji hiyo.

Baadae huyooo !! anaenda zake bila wasiwasi akikatiza mitaa bila kujali wala kuogopa askari wa usalama barabarani ni Jijini Mbeya Asbuhi ya Leo mitaa ya Soweto.
Picha na Mbeya yetu
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top