Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January
2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili
ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa
Peacock Hotel ambako kutakuwa na maada mbalimbali zitakazowasilishwa na
kujadiliwa kama alivyozisimamia Regia. Katika siku hii maalumu wageni
na wadau mbalimbali wamethibitisha kushiriki.
Hafla hii maalumu itaanza saa 9.00 Alasiri na kumalizika 2.00 usiku na kisha kufuatiwa na chakula cha usiku. Ratiba kamili itahusisha matukio yafuatayo:
Hafla hii maalumu itaanza saa 9.00 Alasiri na kumalizika 2.00 usiku na kisha kufuatiwa na chakula cha usiku. Ratiba kamili itahusisha matukio yafuatayo:
- Historia ya Regia itakayowasilishwa na Mh. David Kafulila
- Mada juu ya Rushwa itakayowakilishwa na Takukuru
- Ulemavu Siyo Kutoweza itakayowasilishwa na Bi Shida Salum - Mwenyekiti CHAWATA
- Nafasi ya Kijana katika kuchochea maendeleo na demokrasia - Mh. January Makamba
- Majadiliano
- Documentary za Regia Mtema
- Remarks kutoka kwa Mh. Zitto Kabwe; Mh. John Mnyika na Hussein Bashe na Mzee Mtema
- Chakula cha jioni
- Networking
Wasimamizi wa hafla hii watakuwa: Pascal Mayalla na Lara Williams
Thibitisha kuhudhuria kwako kwako kupitia number: 0713 694 820
CC: Pasco; lara 1; Mzee Mwanakijiji - Naomba msambaze mwaliko huu.
Wasalaam
Sanctus Mtsimbe
Mwenyekiti; Regia Mtema Foundation
Sokoine Drive/Pamba Road
Opposite Luther House or Life House/Tancot House;
2nd Floor; Left Wing (3rd Floor including Mezanine)

Post a Comment