 |
| Rais
wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma akiteremka kutoka kwenye ndege mara
baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Asasi ya
Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC |
 |
| Mhe.
Zuma akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mathayo David
Mathayo ambaye alikuwa Uwanjani hapo kwa ajili ya kumpokea |
 |
| Mhe. Rais Zuma akifuatana na Mhe. Mathayo mara baada ya kuwasili |
 |
| Gwaride la Heshima kwa ajili ya Mhe. Rais Zuma |
 |
| Mhe. Rais Zuma akipita katikati ya Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Friday, January 11, 2013
Post a Comment