Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAHOJIANO NA MHE.BALOZI MWANAIDI MAAJAR (SEHEMU YA 1)

Hii ni sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano kati ya JAMII PRODUCTION na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi Maajar.


Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar

Katika sehemu hii anaeleza Historia yake Ilikuwaje akaingia katika fani ya sheria? Na ni nini alipanga kufanya kabla ya kujikita kwenye sheria?

Ni vipi alipokea ombi la kuwa Balozi?
Ni zipi changamoto alizokutana nazo kwenye kazi ya ubalozi?
Ni vipi amebadili mawazo ya waMarekani wanaoiona Tanzania kama nchi isiyopiga hatua?
Anawashirikisha vipi viongozi wa Tanzania maendeleo anayoyaona Marekani?
Ipi nafasi ya mwanamke katika uongozi?
Anazungumzia vipi suala la viti maalum kwa wanawake?
Je! Tanzania ipo tayari kuwa na Rais mwanamke? Na Je! Tanzania ina wanawake ambao wanaweza kuwa rais wa nchi hiyo?

Na mengine mengi.


KWA HISANI KUBWA YA SWAHIVILLA
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top