 |
| Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.), (kushoto) akisalimiana na Mhe. Andry Rajoelina, Rais wa
Madagascar mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Januari, 2013. Mhe. Rais
Rajoelina yupo nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano unaoendelea wa
Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za
Kusini mwa Afrika (SADC-TROIKA). |
 |
| Mhe. Rais Rajoelina akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili. |
 |
| Mhe. Rais Rajoelina akiwa amefuatana na Mhe. Membe mara baada ya kupokelewa. |
 |
| Mhe. Rais Rajoelina akipita katikati ya Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake huku akisindikizwa na Mhe. Membe |
 |
| Mhe.
Rais Rajoelina akiwa na Mhe. Membe wakifurahia burudani ya ngoma za
utamaduni zilizokuwepo Uwanjani hapo mara baada ya kuwasili. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Friday, January 11, 2013
Post a Comment