Mtoto akitafuta wateja wa miwa kwenye stesheni ya Kazutramimba mkoani Kigoma, hivi karibuni
Ally Bikulako mkazi wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, akiwa
katika kazi ya ufundi wa kuchora bango la shule ya sekondari ya Nguruka,
hivi karibuni.
Mamalishe wakiwa kazini katika kijiji cha Nguruka, wilayani Uvinza mkoani Kigoma hivi karibuni.
Mafundi wakiwa katika ujenzi wa nyumba ya kisasa katika Kijiji cha Kasanda, wilayani Kakonko mkoani Kigoma juzi.
Watoto wakichota maji safi ya bomba kwenye kijiji cha Nyabibuye, Kakonko mkoani Kigoma jana.
Belitha Anthoy wa Kijiji cha Lumashi, Kata ya Nyabibuye, Kakonko mkoani
Kigoma akichoma mahindi, nyumbani kwao, jana. Huu ni msimu wa mahindi
mabichi Kigoma
MTOTO akiswaga mbuzi aliokuwa anachunga katika kijiji cha Malagarasi,
wilayani Uvinza mkoani Kigoma, juzi.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO via CCM Blog
Post a Comment