Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kudhibiti baadhi ya watu wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa dini ya Kiislam waliokuwa wakitaka kuandamana kushinikiza itolewe dhamana kwa shekhe Issa Ponda Issa.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment