Mh Freeman Mbowe akiweka shada la maua juu ya jeneza la Marehemu askofu Thomas Laiser.
Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe akihutubia kwenye mazishi ya Askofu Laizer.
Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema akihutubia katika mazishi ya Askofu Laizer.
Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge
wa Hai Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe akisalimia na baadhi ya waombolezaji waliokuja katika mazishi ya Askofu Thomas Laizer.
Picha na Chadema Blog
Post a Comment