Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas
Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini
Arusha leo.
ais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Maua katika kaburi la
Marehemu Askofu Dkt.Thomas Laizer wakati wa mazishi yaliyofanyika katika
Kanisa KKKT Usharika wa mjini Kati,Arusha mjini leo.
Rais
Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Kiongozi wa Kambi ya
Upinzani Bungeni Freeman Mbowe wakati wa Mazishi ya Skofu Thomas Laizer
leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati
(picha na Freddy Maro)
Post a Comment