
Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Bushiri, iliyopo Wilaya
ya Pangani mkoani Tanga, Mpaji Said (20), akiwa amelazwa katika
hospitali ya wilaya hiyo, akipatiwa matibabu baada ya kudaiwa kunywa
sumu ya panya, kutokana na fedheha aliyoipata kwa kutofaulu mtihani wa
taifa wa kidato cha nne.
Picha na John Senmkande
Post a Comment