Wadau wakishoo love kabala ya kutunukiwa nondozz
Mdau Haji Katele akiwa katika mkao wa mahafali kabla ya kula nondozz yake ya Shahada ya Sanaa na Elimu.
Mdau akiwa mwenye furaha tele baada ya kutunukiwa nondo yake ya Shahada ya Sanaa na Elimu
Mdau Haji akiwa na Mama baada ya kulamba nondoz yake Shahada ya Sanaa na Elimu katika Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara University College(STEMMUCO)
Mdau Haji na dada Hawa wakiwa wakipata taswira ya ukumbusho baada ya kula nondoz
Mambo ya ankalii nao hawakuwa nyuma katika kumpamba mdau (Kutoka kushoto) Verdiana akifuatiwa na Agness anayemvisha taji mdau
Mdau akipokea zawadi ya keki kutoka kwa Mama anayesindikizwa na Hadija baada ya kula nondoz
Mdau Haji Katele akiwa katika picha ya pamoja baada ya kula nondoz ya Shahada ya Sanaa na Elimu kutoka katika Chuo Kikuu cha Stella Maris Mtwara University College(STEMMUCO) katika Mahafali ya Pili yaliyofanyika Ijumaa ya tarehe 6.12.2013