 |
| Meya
wa Mji wa Vallejo nchini Marekani, Mhe. Osby Davis (kushoto)
akisalimiana na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mhe. Didas Masaburi mara
baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi. Mji wa Vallejo una
uhusiano wa udada na Mji wa Bagamoyo |
 |
| Mkurugenzi
wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dora Msechu akisalimiana na mmoja wa
wajumbe waliofuatana na Meya Davis kutoka Vallejo nchini Marekani. |
 |
| Meya Davis na ujumbe wake wakimsikiliza Balozi Msechu wakati akifafanua jambo kwao huku Mhe. Masaburi nae akisikiliza. |
 |
| Mhe. Masaburi akiwapatia maelezo Mhe. Davis na ujumbe wake. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Tuesday, February 25, 2014
Post a Comment