Naweza kusema usiku wa kuamkia leo ulikuwa wa kheri kwa Staa wa filamu
Wolper, baada ya kuvishwa Pete ya uchumba na mchumba wake...
Wolper alipost picha kadhaa zikionesha tukio hilo la kuvishwa pete na
picha zingine machozi yakimtoka kwa furaha iliyo pitiliza... Pichani ni
mchumba wake ambae hakuweka wazi anaitwa nani na sina hakika kama nyuma
aliwai kumpost popote...
Post a Comment