Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo
la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa Mafinga katika
uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa leo Septemba 27 kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mafinga
katika uwanja wa Mafinga mkoani Iringa leo Septemba 27 kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni.
Mmoj
wa Waangalizi wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka
huu,akifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli
mjini Makambako jioni ya leo Septemba 27 mkoani Iringa
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Mufindi Kusini Ndugu Mahmoud Mgimwa akipiga push up
mbele ya wakazi wa Mafinga waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa
kampeni wa kumnadi mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
ambaye anashuhudia tukio hilo katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja
vyaWambi mjini Mafinga mkoani Iringa na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa
wananchi.
Dk.
John Pombe Magufuli amewaambia wakazi hao wasihadaike na maneno ya
kisiasa yanayotolewa na vyama vingine kuwa nchi ya Tanzania haijapiga
hatua ikiwa chini ya utawala wa CCM wakati maendeleo yanaonekana wazi na
nchi inazidi kusonga mbele kwa mambo mengi ikiwemo amani na utulivu wa
nchi.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa
Chimala,Mbarali mkoani Mbeya alipokuwa akielekea mkoani Iringa kuendelea
na kampeni zake.
gombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe
Magufuli akionesha hisia zake mara baada ya kuonana uso kwa uso na Kada
Mkongwe wa chama cha CCM Ndugu Samwel Malecela mjini Mbarali kabla ya
kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Kada Mkongwe wa chama cha CCM Ndugu Samwel
Malecela mjini Mbarali kabla ya kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa
kampeni,huku Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Ndugu Bulembo akifuatilia kwa
makini
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Rujewa
mjini katika viwanja vya Barafu mjini Rujewa,wilaya ya Mbarali mkoani
Mbeya leo Septemba 27 kwenye mkutano hadhara wa kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
Rujewa mjini wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya leo Septemba 27 kwenye
mkutano hadhara wa kampeni.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga a.k.a Jah People
akimuombea kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini Ilembula leo Septemba 27
mkoni Mbeya
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo
la Wanging'ombe Injinia Gerson Rwenge,katika mji wa Ilembula
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mjini Makambako
kwenye uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa leo Septemba 27 kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni.
wakazi
wa Makambako wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akipanda jukwaani kwa kuruka ruka kuonesha yuko fiti
kuwatumikia wananchi kwa namna yoyote ile.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Abdalah
Bulembo akiwahutubia wakazi wa Makambako kwenye mkutano wa kumnadi
mgombea urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli leo Septemba 27 mkoani
Iringa
Dkt Magufuli akiwasalimia wananchi wa Makambako kabla ya kuanza kuwahutubia na kuwaomba kura
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Makambako
gombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaimbisha
wananchi wa Mafinga katika uwanja wa Polisi Mwembetogwa mkoani Iringa
leo Septemba 27 kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Wananchi
wa mji wa Makambako wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe
Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba wajitokeze kwa wingi
siku ya kupiga kura Oktoba 25 kwa kumpiga kura ya ndio na hatimae aibuke
mshindi kwa nafasi ya Urais
Post a Comment