Ligi Kuu Tanzania Bara #VPL inendelea leo ambapo vinara Simba SC, wanakipiga na Mwadui FC katika dimba la CCM Kambarage, Shinyanga.
Mchezo huu unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini ili kujua nini leo simba itavuna.
Simba ikitaka kuzidi kuongeza wigo wa uongozi wa ligi huku wengine wakiombea wajikwae ili kupunguza kasi ya Simba. Mpambano huo unatarajiwa kuanzia saa 10:00 Jioni.
Post a Comment