Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

DEREVA WA DALADALA AKUMBANA NA KIPIGO ASUBUHI NA MAPEMA

Asubuhi na mapema maeneo ya Buguruni Shell ilitokea kutoelewana kati ya dereva wa daladala inayofanya safari zake kati ya Vingunguti-Msasani na gari ndogo aina ya Corola pale dereva wa gari ndogo ambae na umbo la kubwa alipoamua kushushia kipigo dereva wa daladala akimtuhumu kutaka kumgonga wakati daladala hiyo ikitokea shell kuelekea kwenye mataa na gari ndogo hiyo ikitaka kuingia Shell.Mwisho wa ugomvi huo ni Askari wa Usalama kufika na kuamuru wote kulekea Kituo cha Polisi Buguruni.Watu kama kawaida walikuwa mashuhuda wakishuhudia sinema ya bure kabisa wakibaki kushangilia tu.

Waweza jikumbusha baadhi ya visa vya madereva wa daladala na makondakta wao.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top