Naibu Waziri wa Elimu,Mhe.Philipo Mulugo akifungua Mkutano wa pili ''Open and Distance Learning'' jana katika Katika Ukumbi wa Mwinyi ulioko katika Kituo cha Kinondoni,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Mkutano huo uliofunguliwa na jana ni wa siku mbili na unashirikisha washiriki toka nchi za Nigeria,Ghana,Tanzania.
Washiriki wakiandikisha majina na kupewa makabrasha ya Mkutano
Washiriki wa Mkutano walipata fursa kutembelea maonyesho yaliyoenda sambamba na Maadhimisho ya Miaka 20 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,waliweza kujua namna Chuo kinavyodahili Wanafunzi Pichani kutoka kushoto ni Evelyne Shipela,Maria Itembe na Kulia Ndgu.Kelvin Haule ambao walikuwa wakitoa maelezo hayo kwa washiriki.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe.Mulugo akiongea na waandisho wa habari mara baada ya kufungua mkutano hiyo jana.
Washiriki wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe,Mulugo.
Mkurugenzi wa Kituo cha Ilala,Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Ms.Helen Kiunsi akiwa katikaMkutano wa ODL jana(Alhamisi 23/8/2012)
...............................................
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
...............................................
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Post a Comment