Sudan imetangaza kwamba
inakijenga tena kiwanda cha kutengeneza silaha ambacho kiliharibika
kiliposhambuliwa kwa ndege mwezi wa Oktoba.
Redio ya taifa ilisema ujenzi umeshaanza.
Wakuu wa Sudan waliilaumu Israel kwa shambulio hilo mjini Khartoum.
Israel haikujibu kitu, lakini iliishutumu Sudan
kuwa ni kituo cha kupitisha silaha kutoka Iran zinazokwenda kwa
wapiganaji Afrika na Mashariki ya Kati.
Chanzo:www.bbc.co.uk/swahili
Post a Comment